TNRF is a collective civil society-based initiative to improve natural resource management in Tanzania by addressing fundamental issues of natural resource governance. We view the quality and equity of governance as fundamentally determining how natural resources are managed and how they support the livelihoods of Tanzanians and the sustainable economic development of the country.

Mswada mpya wa utalii (2007) unapatikana

Mswada wa utalii (2007) kwa sasa unapatikana kwa wote na unaweza kuupata hapa katika sehemu mbili.

Wizara ya Maliasili na Utalii inafanya mikutano elekezi kuhusu mswada mpya wa utalii kama ifuatavyo:

- 8 Oktoba 2007 - Wadau wa utalii, Dar es Salaam
- 10 Oktoba 2007 - Wadau wa utalii Arusha
- 15 Oktoba 2007- Wadau wa utalii, Mwanza
- 18 Oktoba 2007 - Wadau waalikwa pamoja na Kamati ya bunge ya Maliasili na Utalii, Dar es Salaam.

Karibu kwenye mtandao mpya wa JMT

Karibu kwenye mtandao mpya wa JMT! Mtandao umeundwa na kutengenezwa upya na nimatumaini yetu kwamba mtaona ni rahisi kutumia. Kwa kiasi kikubwa mtandao kwa lugha ya kiingereza umekamilika - ingawa bado tunaendelea kufanya kazi ili kuweza kuiboresha maktaba yetu na takwimu za wanachama wetu. Vilevile tunafanya kazi ili kuweza kuboresha kurasa saidizi za mtandao - kwa sasa tafadhali wasiliana nasiĀ  kama unakumbana na tatizo lolote.

RSS feed
[?]
RSS Feed

RSS is a family of Web feed formats which this website uses to publish frequently updated content such as news, upcoming events and information resources that have been recently posted to the TNRF website.

An RSS document, is called a "web feed" and contains either a summary of content from an associated website (e.g. see the 'newsfeeds' link on the 'member resources' menu) or the full text of a TNRF web page item. RSS makes it possible for you to automatically keep up-to-date with new TNRF content without having to check the website manually.

RSS content can be read using software called a "feed reader" or an "aggregator". You can subscribe to a TNRF feed by clicking the RSS icon on the web page you are viewing (if it is available) and this will initiate the subscription process.